The Motor vehicle mechanics workshop training session
Chumba cha Kompyuta
Watumishi wakiwa katika picha ya pamoja
Katika Studio ya Ubunifu
Wanafunzi wa fani ya Mapishi na lishe Katika picha ya pamoja na Mkuu wa Chuo.
Kipekee natoa salamu zangu za dhati kwa jumuiya ya Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa. Kama Mkuu wa Chuo kwa heshima kubwa nitaongoza na kushirikiana na menejimenti pamoja na watumishi wote kwa lengo la kukifanya Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa kuwa chuo kinachoongoza katika utoaji wa ujuzi kulingana na mahitaji ya jamii nchini na Afrika Mashariki. Ninatarajia umoja, ushirikiano pamoja na ubunifu kwa ajili ya kesho iliyo bora ya Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa.
Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa leo tarehe 21 Nov 2025 kimeadhimisha mahafali yake ya kumi na s...
Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Ajira,vijana na Mahusioano kupitia Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa(FD...
CMW Bigwa kwa kushirikiana na Jumuiya ya Vyuo na Taasisi za Ufundi Kanada (CICan) kinatoa mafunzo ya...
Fomu hii ni kwaajili ya Mafunzo ya Ufundi kwa Miezi mitatu hadi sita